Programme Américain d’Admission des Réfugiés

Kupinga Udanganyifu

Epuka na uripote vitendo vya utapeli

  • Soma - Epuka na uripote vitendo vya utapeli
    Soma
  • Kusikiya - Epuka na uripote vitendo vya utapeli
    Kusikiya
  • Kuona - Epuka na uripote vitendo vya utapeli
    Kuona

USRAP ina tumika katika mazingira kubwa na kamili. Wafanya kazi wote wako hapa kwakuku saidiya na ku amini kwa haki sawa kwa wote. Ikiwa una teswa kwajili ya imani yako, dini yako, jinsia yako na muelekeyo waki ngono, una weza kuijulisha kwa wafanya kazi wa USRAP. Usiogope kuizungumuza na msaidizi waki jamii au kuomba msimamizi (mwanamuke na mwanaume) kwa wakati wote. Yote unayo ambia mfanyakazi yana cungwa kama siri.

Ni muhimu Kudumisha uadilifu wa USRAP. RSC zina jukumu muhimu katika kuhakikisha uadilifu na katika ulinzi dhidi wa makosa ya ndani wakati wa ku shuhulikiya kesi za wakimbizi kwa ajili ya kuhamishwa (réinstallation). Kazi zote za réinstallation ni bure. Kwa kila wakati wa mwendo, wa akilishi wa RSC, wa OIM, wa Agence de Réinstallation, wa kliniki za matibabu, wama ONG, wa HCR au wa serkali ya marekani hawawezi kuomba malipo kwajili ya kazi yeyote ya réinstallation. Mtu akikuomba pesa, akiku ambiya anakuwa na uwezo waku endesha araka kesi yako, kuomba msaafa wowote au kuku tisha kwa namna yoyote, tafazali ujulishe RSC. Maelezo kuhusu kuripoti mwendo mubaya itakutolewa kwa majadiliyano yako yakwanza.

⇠ Kila Kitu kuhusu USRAP