Orientation Culturelle Maono ya Pamoja

Uchukuzi

Usafiri nchini Marekani

 • Soma - Usafiri nchini Marekani
  Soma
 • Kusikiya - Usafiri nchini Marekani
  Kusikiya
 • Kuona - Usafiri nchini Marekani
  Kuona

Kuna aina tofauti za uchukuzi unazoweza kupata wakati una fika kwajami yako mpya. . Jami nyingi zinakuwa na mbinu moja au nyingi za uchukuzi wa umma. Utahitajika kujua namna yaku tumia uchukuzi wa umma salama. Agence ya Réinstallation itakupatia maelezo kuhusu uchukuzi wa umma katika shirika jami yako mpya kisha kufika kwako.

Kuna sheria Marekani zinazo ongoza mwendo, kuendesha kinga na kuendesha gari. Wakati unafika mara ya kwanza Marekani, pengine uta tembeya muda mwingi kabla yaku fika nafasi unataka kwenda. Karibuni, utaanza chukuwa uchukuzi wa umma. Uchukuzi wa umma ina pishana na mahali kwa mahali. Kwa nafasi fulani, unaweza ku chukuliwa karibuni kila mahali una taka kwenda. Mahali pengine, uchukuzi wa umma unaweza kufanya kazi wakati fulani au hauwezi kuwa.

Kumiliki au kufika kwa gari binafsi inakuja na faida na majukumu. Kumiliki na kuendesha gari Marekani inaweza kuwa ya bei kali. Katika miezi yako ya kwanza Marekani, unaeza hitajika kutumia usafiri wa umma ili kuzuunguka jami yako mpya. Baada ya kuwa na kazi na unaweza panga gharama za gari, unaweza kuamua kununua gari, lakini kuna sheria zinazo husu bima ya gari, ruhusa yaku endesha na usalama unaohitaji kuelewa na nakufata umri ukiwa utanunua gari.

Aina za uchukuzi wa umma

Uchukuzi wa umma unaruhusu watu mjini kusafiri katika mji bila gari. Utahitaji kujua namna ya kufungia kibao salama, safiri, na kuondoa aina za uchukuzi utakayo itumia. Marekani, kuna aina tatu muhimu za uchukuzi wa umma: mabasi, treni za haraka. Wana endesha kwaku fata mstari na kushimamisha mahali fulani ili kuruhusu maendesha punda wapite mbali na kuendelea. Mara nyingi, unahitaji kununua tiketi ya kutumia uchukuzi wa umma. Teksi na kazi zengine za gari za kibinafsi zinaweza kupatikana pia, lakini mara nyingi ni za gharama kubwa.

Kutembea na kuendesha kinga

Kuwa na ufahamu wa alama za mwendo na alama ili uwena usalama wakati wa kutembea katika jami yako. Tumia barabara za kando na barabara za msalaba kwenye barabara za pembeni au pembe.

Miji nyingi zinatoa njia pekee ya kinga na pia zina kuwa na kanuni za mwendo na usalama hasa kwa wanao endesha kinga. Kuendesha kinga ni raisi na haina garama kubwa kwaku fika karibu, lakini ni muhimu kujua na kufuata sheria za mwendo ili kuendesha kinga salama.

Alama za mwendo na usalama wa barabara

 • Kushimama
  Njia moja
  Mstari wa baiskeli
  Shule
  Msalaba wa kutembeleya
⇠ Kila kitu kuhusu kufundishwa tabiya za Inchi (Orientation Culturelle)